Jumla ya wanafunzi waliokalia mtihani wa KCPE mwaka 2019 ni, 1,083,456 ongezeko kutoka wanafunzi 1,052, 344 mnamo 2018, Wizara ya elimu inasema kuwa.
Kati ya idadi hiyo, wanafunzi wa kiume walikuwa 543,582 (50.17%) na wa kike kuwa na idadi ya 539,874 (49.82%).